Aga Khan Afariki Dunia – Global Publishers



Mtukufu Aga Khan Karim Al-Hussaini (kulia) akiwa na aliyekuwa Malkia wa Uingereza, Elizabeth II (kushoto)

Kiongozi Mkuu wa 49 wa Madhehebu ya Shia Ismailia na Mwanzilishi wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan, Mtukufu Aga Khan amefariki dunia jana Februari 4, 2025 jijini Lisbon, Ureno.

Mtukufu Aga Khan iV anayefahamika kama Karim Al- Hussaini, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88.

Enzi za uhai wake, Aga Khan alifahamika kutokana na mchango wake kwenye shughuli za kuimarisha ustawi wa maisha ya watu mbalimbali duniani.

Aga Khan ni mmiliki wa hospitali kubwa za Aga Khan, shule na vyombo vya habari nchini Tanzania, Kenya na kwingineko duniani.


Related Posts