HATIMAYE siku ya kutabasamu na Meridianbet imefika ambapo leo hii mechi za kukupatia mtonyo wa uhakika zinachezwa, hivyo ingia Meridianbet na usuke jamvi lako la ushindi hapa.
Huku kwa upande wa Girona baada ya kushinda mechi yake iliyopita leo hii atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Athletic Bilbao ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 10, huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Bilbao kwa ODDS 1.70 kwa 5.20. Jisajili hapa.
Vilevile ligi kuu ya Italia SERIE A leo kitawaka sana ambapo Atalanta atasafiri kumenyana dhidi ya Hellas Verona ambao wapo nafasi ya 13 wakiwa na pointi zao 23 pekee. Gasperin na vijana wake wanhitaji ushindi leo hii kujiweka sawa kwenye mbio za ubingwa. Je watatokaje pale Bentegodi?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 5.80 kwa 1.55.
Pia Empoli atakuwa mwenyeji wa AC Milan ambao wanashikilia nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi huku kwenyeji yeye akiwa nafasi ya 16. Tofauti kati yao ni pointi 14 huku Meridianbet wao wakimpa nafasi kubwa ya ushindi Milan kwa ODDS 1.68 kwa 5.40. Tandika jamvi hapa.
Torino atakuwa uso kwa uso dhidi ya Genoa ambapo timu hizi zinafuatana kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 na mgeni wake nafasi ya 12, hivyo basi hata ODDS zao hazijapishana sana. 2.25 kwa 3.80, beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.
BUNDESLIGA kule Ujerumani ndipo kwenye pesa sasa, VFL Wolfsburg atamenyana dhidi ya Bayer Leverkusen ambapo leo hii mwenyeji anataka kulipa kisasi baada ya kupigika mechi iliyopita. Mwenyeji ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita, huku mgeni yeye akishinda. Mechi hii imepewa ODDS 4.20 kwa 1.82. Bashiri hapa.
Mechi nyingine kali ni hii ya Borussia Dortmund vs VFB Stuttgart ambao wametoka kupoteza wakiwa nyumbani kwao. BVB wao walipata ushindi huku leo hii pale Meridianbet mgeni hapewi nafasi ya ushindi akipewa ODDS 3.65 kwa 1.93. Je nani unamdhamini akupatia maokoto leo?. Bashiri hapa.
Kule Ufaransa LIGUE 1 nayo kuna mechi za kubashiri OGC Nice baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita, leo hii watamenyana dhidi ya RC Lens ambao walishinda mechi yao iliyopita. Kila timu inahitaji pointi 3 za ushindi hii leo huku ODDS za mechi hii zikiwa ni 2.39 kwa 3.00. Tengeneza jamvi hapa.
Na mechi ya usiku kabisa ni hii ya AS Saint-Etienne dhidi ya Stade Brest ambao mechi iliyopita walishinda. Timu hizi zote zipo kwenye hali mbaya kwenye msimamo wa ligi ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 16 na mgeni wake nafasi ya 15. Tofauti ya pointi kati yao ni 2 tuu. Bashiri mechi hii yenye ODDS 3.35 kwa 2.22.