Baada ya kuolewa na Sele saa tano usiku nilihesabu ndoa ya tatu. Nikajiambia nisingeweza kuishi na waume watatu kwa muda mrefu. Kitu cha msingi ni kutafuta sababu ili niachwe na waume wengine. Licha ya ujinga huo nilioufanya, sikuwa na wasiwasi hata kidogo.
