MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amemjulia hali Mjumbe wa Halmashauri Kuu yaTaifa (NEC), Ndugu Christopher Gachuma ambaye amelazwa katika
Day: February 10, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi Mohamed Nyundo amewaasa wafanyabiashara na wananchi wa Kilwa kuacha kujihusisha na biashara za magendo kwani zina athari mbaya

Na. Samson Samson, Njombe Kutokana na serikali kutumia mfumo wa NeST katika kuomba Zabuni za miradi mbalimbali, imeelezwa kuwa mfumo huo umekuwa ni changamoto kupata

Musoma. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa anayewakilisha mkoa wa Mara, Christopher Gachuma pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kemirembe

NA MWANDISHI WETU, NJOMBE WAKULIMA wa Mazao ya Misitu, Mazao ya Chakula na Biashara, vikiwemo Vikundi vya Kijamii, Vyama vya Ushirika wa Msingi (AMCOS), Vyama

Dodoma. Jumla ya Sh8.2 trilioni zimeshatolewa mkopo kwa zaidi ya wanufaika 830,000 wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu. Takwimu hizo zimetolewa

Dar es Salaam. Mshtakiwa Felista Mwanri (70) na wenzake, wanaokabiliwa na mashtaka ya kusafirisha tani moja ya dawa za kulevya aina ya bangi, wamehoji sababu

Moshi. Upande wa mashitaka, katika kesi ya mauaji yanayomkabili mkazi wa Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Beatrice Elias Kway (36) anayedaiwa kumuua mumewe nyumbani kwa

Moshi. Licha ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuridhia kwa kishindo, kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa chama hicho kwa

Flashback hadi 2020 maandamano dhidi ya uchaguzi ulio ngumu. Mikopo: Andrew Keymaster/Unsplash Na Ed Holt Jumatatu, Februari 10, 2025 Huduma ya waandishi wa habari Februari