Yasmine Sherif, Mkurugenzi Mtendaji wa Elimu Hauwezi Kusubiri (ECW), anaingiliana na watoto wa wakimbizi wa Sudan huko Misri. Sherif alitoa wito kwa jamii ya kimataifa
Day: February 11, 2025

Kambi kadhaa za wakimbizi ziko karibu tupu baada ya vikosi vya Israeli kuzindua Operesheni Iron Wall mnamo Januari 21, na kuifanya kuwa operesheni ndefu zaidi

BAO moja na asisti moja, vimetosha kumfanya kiungo mshambuliaji wa Tabora United, Offen Chikola kuwa shujaa wa kikosi hicho dhidi ya Kagera Sugar. Kagera Sugar

Februari 10, 2025 Dar es Salaam Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb.), amebainisha kuwa Serikali ya Tanzania,

Dodoma. Kuchelewa kwa fedha za ujenzi wa miundombinu iliyoathiriwa na mvua za El-nino na mafuriko kumesababisha wabunge waikalie kooni Serikali, wakitaka kujua mustakabali wa barabara

Kibaha. Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini mkataba wa mradi wa uchimbaji visima vitano vya umwagiliaji katika Mkoa wa Pwani utakaowanufanisha wananchi wa ndani

Dar es Salaam. Kuendelea kuwapo kwa tozo za Serikali na makato katika miamala ya kifedha, ikiwemo ile inayofanywa kwa simu, kumetajwa kuwa sababu ya gharama

Mwanza. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 utafanyika kama ulivyopangwa na wala hakuna chombo chochote

Na Mwandishi wetu, Tanga Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki kutoa huduma bora kwa wananchi watakaojitokeza katika

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema mpango wa kukagua magari kwa macho sasa basi, badala yake magari yote zitatakiwa kukaguliwa kila mwaka