Bar Na Lodge Ya Pade Mapambano Buza Yateketea Kwa Moto – Video – Global Publishers



Moto mkubwa uliozuka kwenye baa maarufu ya Pade na Mapambano iliyopo Buza jijini Dar es Salaam, imesababisha kila kitu kilichokuwa ndani ya baa hiyo kuteketea.

Global TV imefika eneo la tukio na kushuhudia eneo ambalo saa chache zilizopita ilikuwa imesimama baa hiyo, pakiwa peupe kabisa huku majivu, mabati na ‘skrepa’ vikiwa ndiyo vitu vinavyoonekana.











Related Posts