Unguja. Mfumko wa bei kwa Januari 2025 Zanzibar umeongezeka na kufikia asilimia 5.27 kutoka asilimia 4.9 iliyorekodiwa Desemba 2024, huku bidhaa za mchele na ndizi
Day: February 15, 2025

Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti, Mahmoud Youssouf amemshinda Raila Odinga wa Kenya kwenye kinyang’anyiro cha mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC).

Simiyu. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewahimiza wakulima wa zao la pamba kuongeza uzalishaji kwa ekari kwa kufuata kanuni bora za kilimo. Kanuni bora za kilimo

Tanga. Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Japhari Kubecha amepiga marufuku shughuli zote za kibinadamu zinazofanyika katika Hifadhi ya Mapango ya Amboni, kama vile kukata miti,

Moshi. Wazee wasiojiweza zaidi ya 60 wanaoishi Kijiji cha Msae Kinyambuo, pembezoni mwa msitu wa Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro (Kinapa), wamepatiwa mitungi ya gesi ili

Ukiwa na cheo hautakiwi kuwa mchoyo kwa wenzako Ni Moja ya nukuu ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) wa Mkoa

Mkurugenzi wa Halmashauriya Manispaa ya Moshi Mwajuma NAsombe akizungumza wakati wa kikao cha mwisho cha Bajeti cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri .Mstahiki Meya wa

Hatimaye Pamba Jiji imeingia kwenye nafasi 10 za juu katika Ligi Kuu Bara msimu huu baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Coastal

Na Mwandishi wetu- Dar es salaam Wateja sita wa Akiba Commercial Bank Plc kutoka matawi mbalimbali wametunukiwa zawadi za fedha taslimu pamoja na zawadi

Na Humphrey Shao, Michuzi Tv MKUU wa Wilaya ya Ilala,Edward Mpogolo amesema wamejipanga kikamilifu kuhakikisha Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam inaingia katika