Kaka wa Tundu Lissu Ampokea Nyumbani Kwao Ikungi – Global Publishers



Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Mhe. Tundu Lissu amepokelewaa kwa kishindo Nyumbani kwao Ikungi tangu kuchaguliwa kwake kuwa mwenyekiti wa Chama Taifa ambapo amefanya mkutano wake wa  hadhara na kuwahutubia wananchi wa eneo hilo na watanzania kwa ujumla kupitia mitandao mbalimbali.


Related Posts