Adis Ababa. Umoja wa Afrika (AU) umepongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa ajenda ya kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya
Day: February 16, 2025

na Ashfaq Yusufzai (Peshawar, Pakistan) Jumapili, Februari 16, 2025 Huduma ya waandishi wa habari PESHAWAR, Pakistan, Februari 16 (IPS) – “Nilishtuka nilipoambiwa na mlinzi kwamba

Dodoma. Wakati muhula wa Bunge la 12 ukielekea ukingoni, mkutano wa 18 uliomalizika Februari 14, mwaka huu jijini hapa, umekuwa na mvutano mkali kwa Serikali,

Dodoma. Wakati muhula wa Bunge la 12 ukielekea ukingoni, mkutano wa 18 uliomalizika Februari 14, mwaka huu jijini hapa, umekuwa na mvutano mkali kwa Serikali,

Tabora. Marobota zaidi ya 1,300 ya magunia ya kubebea tumbaku, maarufu kama majafafa, yaliyokuwa yameibiwa kutoka kwa wakulima wa zao hilo mkoani Tabora, yamekabidhiwa kwa

Mashine hizo, zenye thamani ya shilingi milioni 23, zimetolewa kwa njia ya michango binafsi ya wahitimu wa kozi ya “Mwanamke Kiongozi” awamu ya kumi, inayoendeshwa

Nachingwea. Watoto wanne wa familia moja, wakazi wa Kijiji cha Mazoezi, wilayani Nachingwea, Mkoa wa Lindi, wamefariki dunia kwa kuungua na moto uliosababishwa na mshumaa

Dar es Salaam. Familia ya Tundu Lissu imewataka wabaya wake kumsikiliza kwa umakini hoja anazopigania za uhuru wa kweli Tanzania. Licha ya familia hiyo kusema

Na Oscar Assenga, TANGA. MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imesema kwamba inaendelea na mikakati ya kuboresha miundombinu ya Mapango ya Amboni yaliyopo Jijini Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu