Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki
mkutano wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika kuhusu Mabadiliko ya
Tabianchi (CAHOSCC) pamoja na Viongozi wengine kando ya Mkutano wa Kawaida wa
38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU), Jijini Addis Ababa
nchini Ethiopia
tarehe 16 Februari, 2025.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye
mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika
kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (CAHOSCC), Rais wa Kenya Mhe. William Ruto kando
ya Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika
(AU), Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia
tarehe
16 Februari, 2025.

 

Related Posts