Waziri wa Afya, Nassor Ahmed Mazrui amesema matumizi ya vyombo vya plastiki yana madhara ya kiafya katika mwili wa binadamu hasa vinapotumika vibaya na kwa muda mrefu.