Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali
kabla ya kuzindua Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu
masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro pamoja na Tume ya
Rais ya Kutathmini zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi wa eneo la Hifadhi ya
Ngorongoro, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi
mbalimbali kwenye picha ya pamoja na
Wajumbe wa Tume ya Rais ya Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro
wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20
Februari, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi
mbalimbali kwenye picha ya pamoja na
Wajumbe wa Tume ya Rais ya Kutathmini zoezi la uhamaji wa hiari
wa wakazi wa eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe
20 Februari, 2025.
![]() |
Wageni
mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Tume ya Rais ya Kutathmini zoezi
la uhamaji wa hiari wa wakazi wa eneo la Hifadhi ya Ngorongoro Tume ya Rais ya
Kutathmini kuhusu masuala ya mgogoro wa ardhi ya eneo la Hifadhi ya Ngorongoro,
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Februari, 2025.