Jimmy Mafufu Ahama Chadema, Amchacha Lissu, Roma Na Nay – Video – Global Publishers



Msanii wa filamu za Kibongo, Jimmy Mafufu ametangaza kukihama chama chake cha Chadema na kuhamia Chama cha Mapinduzi (CCM).

Akitangaza uamuzi huo mbele ya waandishi wa habari, Mafufu amesema amekoshwa na juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan kuibadilisha nchi tangu alipoingia madarakani.











Related Posts