Miguel Ángel López, mkurugenzi wa nyumba ya mazishi huko Tibú, alitumia kupata miili ambayo ilionekana kando ya barabara za moja ya mikoa yenye vurugu zaidi
Day: February 22, 2025

Waukraine wanaendelea kukabiliwa na shambulio la kila siku, na mgomo wa hewa unalenga miundombinu ya raia kila wakati, na kuacha familia bila nyumba, usalama na

Tuzo ya Mchekeshaji Mkongwe imekwenda Kwa Lucas Mhuvile a.k.a Joti . Joti anaondoka na tuzo ya pili Usiku wa tuzo za Ucheshi (TCA) ambapo awali

TUZO ya Mchekeshaji bora wa kike wa Mwaka imekwenda Kwa binti Mrembo Asma Jameeda katika Usiku wa Tuzo za Ucheshi(TCA) ambae anatokea kwenye Jukwaa la

MUIGIZAJI wa filamu za Bongo na Mchekeshaji Nanga au Babu Kaju ameng’ara Katika Tuzo za Ucheshi (TCA) zinazofanyika Usiku wa Leo Katika Ukumbi wa Superdom

Gaza. Kundi la Hamas limewaachilia huru mateka sita kutoka Gaza na kuwakabidhi mateka hao wakiwa hai kwa Serikali ya Israel ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano

NISHAI,Andunje,Da Kiboga ,Mwajuma ndala ndefu na Majina mengi ambayo amejizolea kutokana na Uhusika anazofanya lakini zaidi anatambulika Kama Joti. Ni miongoni mwa Waliong’ara Katika Kilele

Mbeya. Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), kimesema licha ya manung’uniko lakini kipo tayari kwa uchaguzi mkuu, huku kikitaka kura ya mwananchi iheshimiwe. Pia, amesema

Taasisi ya Vodacom Tanzania Foundation imethibitisha tena dhamira yake ya kuboresha elimu nchini Tanzania kwa kuungana na Chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (CoICT)

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajia kuingiza jumla ya Dola za Kimarekani 968,000 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 2.5 kama ada ya