JOTI ALAMBA MILIONI 5 CHEKA NA SAMIA

NISHAI,Andunje,Da Kiboga ,Mwajuma ndala ndefu na Majina mengi ambayo amejizolea kutokana na Uhusika anazofanya lakini zaidi anatambulika Kama Joti.

Ni miongoni mwa Waliong’ara Katika Kilele cha Tuzo za Ucheshi (TCA) Katika Kipengele cha Tuzo ya Mchekeshaji bora wa Mwaka ambazo ndio mara ya Kwanza zinafanyika nchini Tanzania na Afrika Kwa ujumla ambazo Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan Katika Ukumbi wa Superdom Jijini Dar es Salaam .

Mbali na Kukabidhiwa tuzo hiyo Joti amekabidhiwa mfano wa Hundi ya shilingi Milioni 5 Kama zawadi.

Related Posts