MUIGIZAJI wa filamu za Bongo na Mchekeshaji Nanga au Babu Kaju ameng’ara Katika Tuzo za Ucheshi (TCA) zinazofanyika Usiku wa Leo Katika Ukumbi wa Superdom Masaki Jijini Dar es Salaam.
Nanga amenyakua tuzo katika kipengere cha Mchekeshaji Bora wa Kiume wa Mwaka