RAIS SAMIA AFUNGUA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI MKATA TANGA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya
Halmashauri ya wilaya ya Handeni iliyopo Mkata mkoani Tanga tarehe 23 Februari,
2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya
Halmashauri ya wilaya ya Handeni iliyopo Mkata mkoani Tanga tarehe 23 Februari,
2025.

Related Posts