Habari RAIS SAMIA AWASALIMU WASHIRIKI WA MASHINDANO YA QURAN February 23, 2025 Admin Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025. Related Posts Habari TPHPA yapandisha ada cheti cha afya ya mazao February 23, 2025 Admin Habari Marufuku ya vifaa vya kielektroniki kutoka mataifa mengine yaja February 23, 2025 Admin