Shirika la Habari la AP, usiku wa kuamkia leo, Jumatatu, Februari 24, limeripoti kuwa Papa Francis yupo mahututi huku vipimo vya damu vikionyesha dalili za
Day: February 24, 2025

Kigoma. Hatima ya uhalali wa uchaguzi wa wenyekiti wa Serikali za Mitaa Saba katika Kata Saba za Manispaa ya Kigoma Ujiji, itajulikana ndani ya Juma

Kenya. Waumini wawili wanawake, Mercy Rono (38) na Mercy Cherotich (30) kwa sasa wanauguza majeraha baada ya kutandikwa viboko na mchungaji wao, aliyedai kuwatoa mapepo

Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz Kansela wa Ujerumani, Olaf Scholz, amekalia kuti kavu katika uchaguzi unaoendelea ambapo matokeo ya awali yanaonesha kuwa

Kyiv. Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema kuwa yuko tayari kujiuzulu wadhifa huo, ikiwa uamuzi huo utarejesha amani nchini mwake. Shirika la Associated Press limeripoti

Dar es Salaam. Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO) imebuka mshindi katika kipengele cha mkandarasi bora

Goma. Umati wa maofisa wa polisi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) wamekacha na kujiunga na kundi la waasi la M23, huku wakijisajili kwa

Dar es Salaam. Je, umewahi kuona vituo maalumu vya kukusanya taka za kielektroniki mtaani kwako? Licha ya Sheria ya Kanuni ya Usimamizi wa Mazingira (Udhibiti na

Februari 21, 1965, saa 9:30 alasiri, New York, Marekani, taarifa kutoka Hospitali ya Columbia Presbyterian, ilikuwa yenye mguso mkubwa wa simanzi. Kiongozi wa kijamii, Malcom

Roma. Vatican imesema Papa Francis bado yuko katika hali mahututi, huku vipimo vya damu vikionyesha kuwa ameanza kuonyesha dalili za awali za figo zake kufeli.