EXIM BANK YAINGIA MKATABA WA MIAKA MITATU NA ZATI

  Benki ya Exim imeingia mkataba wa
miaka mitatu na Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI) kwa lengo la
kukuza na kuinua sekta ya utalii Zanzibar. Mkataba huo ulisainiwa na Mkuu wa Kitengo cha Fedha kutoka benki
ya Exim, Shani Kinswaga pamoja na Mwenyekiti wa Chama cha Wawekezaji wa Utalii
Zanzibar (ZATI), Suleiman Ally, ukishuhudiwa na Waziri wa Utalii na Mambo ya
Kale, Mhe. Mudrick Soraga.



 

Related Posts