RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Benki ya ya Dunia, ukiongozwa na Meneja Muendeshaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini mwa Afrika. Milena Stefanova (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-2-2025 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.(Picha na Ikulu).jpg)
.jpg)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Meneja Muendeshaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini mwa Afrika. Milena Stefanova (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-2-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Meneja Muendeshaji wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini mwa Afrika. Milena Stefanova, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-2-2025.(Picha na Ikulu)