Na Ashrack Miraji Michuzi Tv Wanafunzi 30 pamoja na mwalimu mmoja wa Shule ya Sekondari Tumaini Jema, iliyopo wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, wamenusurika kifo
Day: February 26, 2025

Marekani. Utajiri wa Elon Musk, ambaye ni tajiri namba moja duniani, umeendelea kushuka na safari hii zaidi dola bilioni 22.2 (Sh57 trilioni) zimepungua ndani ya

Na Ashrack Miraji – Michuzi blog Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, ameonesha kukerwa na usimamizi wa mradi wa maji unaotekelezwa na

Hai. Mamia ya waombolezaji wamejitokeza katika Usharika wa Nkwarungo Machame, kushiriki ibada ya maziko ya Sifael Shuma (92) aliyekuwa mmoja wa vijana wanne walioshiriki tukio

Maafisa waandamizi wa Tanzania na Malawi wamekutana jijini Lilongwe, Malawi, katika kikao cha sita cha Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (JPCC), kujadili masuala

Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemhukumu mfanyabiashara Hamis Luwongo, kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mke
Na Mwandishi Wetu,Nyasa RAIS Dkt Samia Suluhu Hassan,amerudisha matumaini kwa wananchi wa kijiji cha Kimbanga Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma,baada ya kutoa kiasi cha Sh.milioni

MICHEZO ya Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuendelea leo katika viwanja tofauti itakayokuwa na hesabu kali kutokana na timu kuwania nafasi za kujinasua kushuka na zinazotaka

Rome. Papa Francis ametimiza siku 12 akiwa amelazwa hospitali kwa matibabu, muda ambao ni mrefu ikilinganishwa na mwaka 2012 ambapo alilazwa kwa siku 10. Kulazwa

MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesema katika mwaka 2024 kumekuwa na mafanikio makubwa ambayo yamewezesha pia thamani ya uwekezaji katika masoko ya