Na Munir Shemweta, WANMM IRINGA Serikali imewataka watendaji wa sekta ya Ardhi nchini kutochelewesha huduma za sekta ya Ardhi kwa makusudi wakati wanapowahudumia wananchi wanaokwenda
Month: February 2025
TANZANIA inatarajiwa kuwa mwenyeji katika Mkutano wa 19 wa mwaka wa Jukwaa la Korosho Afrika ambao kufanyika Novemba 18 hadi 22, 2025 katika Ukumbi wa
Philadelphia. Jinamizi la ajali za ndege limeendelea kuikumba Marekani baada ya ndege iliyokuwa imebeba mgonjwa, mama yake na wahudumu wanne kupata ajali na kuanguka eneo
Mkuu wa majeshi ya HAMAS, Mohammed Deif HAMAS, wamethitibisha habari ya kuuawa kwa makamanda wake kadhaa katika mashambulizi ya Israel kwenye
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imevunja rekodi kwa kufikisha watalii milioni 5.3 (5,360,247) ambapo idadi ya watalii
Mwanza. Wakati Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Mwanza ikitoa taarifa ya kuokoa fedha zaidi ya Sh366.9 milioni zilizokuwa hatarini kupigwa,
Moshi. Watu watatu wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Toyota Rav4 waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria la
Dodoma. Wakulima wa korosho wamepata Sh1.4 trilioni baada ya kuuza tani 408,687.7 katika mfumo wa stakabadhi ghalani katika msimu wa kilimo wa mwaka 2024/2025. Waziri
Moshi. Watu watatu wamefariki dunia papo hapo baada ya gari aina ya Toyota Rav4 waliokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la abiria la
Habari kuhusu M23 zimekuwa zinasikika sana katika kipindi cha zaidi ya mwongo mmoja ulipita. Lakini nini hasa chimbuko la M23? Lilianzishwa lini na kwanini? Je,