Tume ya Ushindani FCC kwa kushirikiana na Shirika la The Foundation For Civil Society FCS wamezindua maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Haki za Mlaji
Day: March 7, 2025

Na; Mwandishi Wetu – Arusha Kufuatia Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayotegemea kufanyika Kitaifa Jijini Arusha Tarehe 8 Machi, 2025, yaliyotanguliwa na

FARIDA MANGUBE, MOROGORO Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa

Mashabiki wa Yanga maarufu kwa jina la makomandoo wameuzuia msafara wa watani wao, Simba kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa, usiku huu. Simba imefika uwanjani hapo

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV HALI ya upatikanaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam imeimarika kufuatia kukamilika kwa marekebisho ya mtambo mmoja katika

Uongozi wa Simba umeitisha kikao cha dharura usiku huu kujadili kuzuiliwa kwa timu yao kufanya mazoezi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam leo.

Mwanza. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) mkoani Mwanza umesema unaunga mkono harakati za Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (Neto) huku ukiitaka

Mnamo 2023 UNDP nchini Uganda iliongeza gari lake la kwanza la umeme ndani ya meli zao kama hatua kubwa mbele kwa mabadiliko ya Uganda kwa

Wizara ya Fedha imeungana na washiriki wengine katika kutoa elimu kwa umma kuelekea maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yanayofanyika kitaifa jijini Arusha. Maadhimisho hayo

Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya maendeleo kwa watanzania ikiwemo