Yanga imetoa msimamo mzito ikisema haitakubali kurudiana na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara namba 184 huku ikidai pointi tatu baada ya mpinzani kushindwa
Day: March 9, 2025

Tume ya kila mwaka ya UN juu ya Hali ya Wanawake (CSW) hukutana kushughulikia usawa ulioenea, vurugu na ubaguzi wanawake wanaendelea kukabili ulimwenguni. Mwaka huu,

Bagamoyo. “Nilitokwa machozi ya furaha, sikutarajia jambo hili, maana tulisubiri kwa muda mrefu, lakini wakati wa Mungu ni wakati sahihi, tumshukuru yeye kwa hilo.” Haya

Baada ya kauli ya Rais Samia ya kununua umeme kutoka Kenya, kumeibuka mjadala mkali. Nimemtafuta mtaalamu serikalini afafanue. Naye ameniambia hivi: Ununuzi wa umeme kutoka

Arusha. Benki ya NMB imeingia makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela ya Afrika (NM-AIST) ili kukuza maendeleo ya vipaji

Kibaha. Wanafunzi wawili kutoka Miono, Wilaya ya Bagamoyo, Mkoa wa Pwani, wanaendelea kufanyiwa mahojiano na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi mwenzao wakiwa

Dar es Salaam. Shirika la Madini la Taifa (Stamico) limesema litaendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ili kuwa na watu wengi wanaotumia nishati hiyo. Lengo

Mwanza. Tatizo la utelekezaji wa familia limeendelea kuwa mjadala usio na jawabu la moja kwa moja, huku pande zote mbiliwanaume na wanawake zikirushiana lawama. Kila

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inamshikilia Stanley Bulaya, mkazi wa Kata ya Nguruka, wilayani Uvinza, Mkoa wa Kigoma

Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na dLab inaendelea kuwawezesha wasichana wenye umri wa miaka 14-18 kwa ujuzi wa STEM kupitia programu ya ‘Code Lie A Girl’.