Habari ETDCO yashiriki Maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani March 9, 2025 Admin Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) wameshiriki sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kitaifa jijini Arusha. Related Posts Habari Costech kuinua wabunifu wadogo nchini March 17, 2025 Admin Habari Rea, Tanesco wapewa agizo hili bei za kuunganisha umeme March 17, 2025 Admin