Rais Samia afuturisha Viongozi mbalimbali Mkoani Arusha



 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akijumuika na viongozi kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa
dini, wazee wa Mkoa wa Arusha pamoja na 
makundi mbalimbali katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 08
Machi, 2025.










 Viongozi wa dini,
wazee wa Mkoa wa Arusha, wageni kutoka Taasisi mbalimbali wakiwa kwenye Iftar
iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan
katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Arusha tarehe 08
Machi, 2025.









 

Related Posts