William O'Neill, mtaalam wa UN juu ya hali ya haki za binadamu huko Haiti anaongea juu ya hali mbaya ya kibinadamu huko Haiti katika mkutano
Day: March 12, 2025

Dar es Salaam. Wakati wimbi la mikopo kausha damu likiendelea kutawala nchini, wadau wa masuala ya uchumi wameshauri jitihada za makusudi zinapaswa kuchukuliwa ikiwemo elimu

Tanga. Polisi Mkoa wa Tanga limesema linamshikilia kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo, Swahibu Mwanyoka kutokana na tuhuma zilizoripotiwa. Katika taarifa iliyotolewa na

Dodoma. Siku moja baada ya Serikali kuwasilisha Mapendekezo ya bajeti ya Sh57.04 Trilioni, wachumi na wananchi wameonyesha hofu ya kuhitaji mikopo zaidi. Hofu hiyo inatokana

Dar es Salaam. Wakati zikiwa zimepita siku 12 tangu kuanza kwa biashara saa 24 eneo la Kariakoo, bado ufanyaji biashara usiku unasuasua, huku usalama ukitajwa

Dar es Salaam. Viongozi mbalimbali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwemo wajumbe wa kamati kuu watajifungia kwa siku mbili kupigwa darasa la uongozi.

Na Janeth MichuziTv -Dodoma Wananchi wamepewa wito wa kuchamgamkia kupata nyumba zilizojengwa na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ambazo zinapatikana kwa bei nafuu, kwa ajili

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika taasisi za umma. Kwa mujibu wa taarifa

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), leo tarehe 11 Machi, 2025 limetoa magodoro zaidi ya 300 katika kuunga mkono Kampeni ya Achia Gheto Hamia

BARAZA la Taifa la Mashirika yasiyokuwa ya Kiserikali(NaCoNGO), limezindua kikosi kazi cha kitaifa chenye wajumbe 14 wanaotoka katika makundi ya wawakilishi mbalimbali kwa ajili ya