Unambiwa bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na gesi kwa kiasi kikubwa vinapatikanabaharini waulize wavuvi watakwambia juu ya maajabu ya baharini. Meridianbet kasinomtandaoni inakurudisha baharini kuusaka utajiri kupitia mchezo wa kasino unaitwaLucky Dolphin.
Lucky Dolphin ni sloti ya kasino mtandaoni kutoka kwa mtayarishaji mahiri wa michezo ya slotiPlatipus. Katika mchezo huu wa sloti, kuna bonasi maalum inakusubiri ambapo unaweza kupitiaviwango tofauti. Kiwango cha juu kinakuhakikishia ushindi makubwa.
Mchezo huu wa kasino mtandaoni una nguzo tano zilizopangwa katika safu tatu na ina mistari15 iliyowekwa. Ili kupata ushindi, ni lazima ufananishe alama tatu au zaidi kwenye mstari wamalipo.
Mchanganyiko wote wa ushindi, isipokuwa ule unaohusisha alama za Scatter, huzingatiwakutoka kushoto kwenda kulia kuanzia nguzo ya kwanza upande wa kushoto.
Unaweza kupata ushindi mmoja kwa mstari wa malipo. Ikiwa una mchanganyiko wa ushindimkubwa zaidi kwenye mstari mmoja, utalipwa mchanganyiko wenye thamani kubwa zaidi.
Ushindi unaweza kuongezeka ikiwa utafanikiwa kuunganisha ushindi mistari kadhaa kwa wakatimmoja.
Ndani ya eneo la kubetia kuna menyu ambayo inaruhusu kuweka kiwango cha kubetia kwa kilamstari wa malipo. Kiwango cha dau lako la kubetia kwa mzunguko mmoja unaonyeshwa katikaeneo la jumla ya Dau la kubetia.
Vilevile Lucky Dolphin unakupa uwezo wa kucheza miznguko ya kasino mpaka mara 100, kwakutumia chaguo la Autoplay. JISAJILI NA MERIDIANBET kama bado ufurahie maajabu yamchezo huu wa kasino mtandaoni.
Jinsi ya Kushinda Sloti Ya Lucky Dolphin
Linapokuja suala la alama za mchezo huu wa Lucky Dolphin, alama za kadi za kawaida zinaletathamani ndogo ya malipo ikiwemo kadi zifutazo: 10, J, Q, K na A. Pamoja na kwamba kadihueta thamani ndogo ya malipo kuna kadi ambazo zenye malipo ya juu kidogo kulinganisha nazilizotajwa hapo juu nazo ni Q, K na A.
Alama inayofuata katika suala la thamani ya malipo ni samaki aliyetuna. Ikiwa utaunganishaalama tano za aina hii katika mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 100 ya thamani ya daulakola kubetia kwa mstari wa malipo.
Alama ifuatayo ni farasi wa baharini (seahorse), alama hii itakuletea ushindi mkubwa ikiwautaunganisha alama tano za hiikwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 150 ya thamaniya dau lako la kubetia kwa mstari wa malipo.
Alama yenye thamani kubwa zaidi miongoni mwa alama za samaki ni samaki wa dhahabu(goldfish). Ikiwa utaunganisha alama tano za hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara200 ya thamani ya dau kwa mstari wa malipo.
Alama yenye nguvu zaidi inapokuja kwa alama za kawaida ni kasa (Sea turtle). Ikiwautaunganisha alama tano za aina hii kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 250 yathamani ya dau lako la kubetia kwa mstari wa malipo.
Alama pori (wild symbol) inawakilishwa na pomboo (dolphin). Alama hii inachukua nafasi yaalama zote za mchezo, isipokuwa alama za scatter, na husaidia kuunda mchanganyiko waushindi.
Cheza Kasino Mtandaoni hapa, Lucky Dolphin sloti inayokupa urahisi wa ushindi kwa daulako. Usipoteze muda!!
NB: Meridianbet ukijisajili tu unapata bonasi kibao za kasino yamtandaoni na pia kila mechi inatoa odds kubwa PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz