Morogoro. Zaidi ya wananchi 7,000 wa kijiji cha Idete, kata ya Chanzulu, Wilaya ya Kilosa, ambao kwa muda mrefu wamekuwa wakikosa mawasiliano ya simu na
Day: March 17, 2025

Washington. Rais wa Marekani, Donald Trump amesema atazungumza na Rais wa Russia, Vladimir Putin kesho Jumanne Machi 18, 2025, kuhusu hatima vita ya Russia na

Nairobi. Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, ameendelea kuikosoa Chama cha United Democratic Alliance (UDA) kinachoongozwa na Rais William Ruto, akiwataka wakazi wa Mlima

Dar es Salaam. Mama na wanawe wawili wamekimbia katika nyumba waliyokuwa wakiishi na mumewe, Yangeyange Kata ya Msongola wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam. Ni

MBEYA City imekuwa ni timu ya kwanza ya Ligi ya Championship kuweka rekodi ya kufuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) msimu

Chato. Mamia ya wananchi wa ndani na nje ya Wilaya ya Chato mkoani Geita wameungana na familia ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati

Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la kiserikali linalojihusisha na masuala ya watu wenye ulemavu,Wakili Gideon Mandes, alizungumza na waandishi wa habari mara baada ya semina ya

Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Ireland, Mhe. Neale Richmond, ametembelea Kitengo cha huduma ya Saratani kwa watoto cha Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Na Mwandishi wetu, Mirerani KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, imeridhishwa na mradi wa ujenzi wa soko la madini ya Tanzanite

Na Oscar Assenga,TANGA CHUO cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Jijini Tanga katika kuadhimisha miaka 30 ya kuanzishwa kwake wamefanya shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo