Dar es Salaam. Mamia ya abiria wanaotoka ama kwenda maeneo ya Chanika, Kigogo na Kisarawe wanakutana na adha ya usafiri kwa kushushwa kwenye daladala kutokana
Day: March 19, 2025

Sakata la kuahirishwa kwa mechi ya Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga na Simba, iliyokuwa ichezwe Machi 8, 2025, limechukua sura mpya. Awali, suala hili

Na Mwandishi Wetu MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira ameitaka serikali kupitia Wizara ya Kilimo kuangalia uwezekano wa ardhi inayomilikiwa

Dar es Salaam, Tanzania – Machi 18, 2025 – Wingu Group Tanzania imefanikiwa kuzindua awamu ya pili ya upanuzi wa kituo chake cha ‘data’, hatua

Kampuni ya Puma Energy Tanzania imezindua PumaGas jijini Dodoma, hatua inayoonyesha dhamira yake katika kuhakikisha suluhisho la nishati nafuu na ya uhakika kwa matumizi

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi kadi mpya ya Mpiga Kura Ndg. Abubakari Majuto mkazi wa Mzambarauni

Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, Marry Sule amefariki dunia jana usiku Machi 18, 2025 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali

BAADA ya tetesi nyingi juu ya kuajiriwa na Mashujaa kwa aliyekuwa kocha Mkuu wa Mbeya City, Salum Mayanga ili kuchukua mikoba ya Mohammed Abdallah ‘Bares’

Dar es Salaam. Ukisema cha nini, mwenzako anajiuliza atakipata lini? Msemo huu unaelezea hali halisi ya maisha katika Dampo Kuu la Jiji la Dar es

Miaka minne yenye tafsiri mbili imekatika. Minne tangu kifo cha Rais wa tano, Dk John Magufuli na minne ya urais wa Samia Suluhu Hassan. Machi