RAYVAN CHUI AZINDUA PROMOSHENI YA KULA SHAVU

STAR wa Muziki nchini Tanzania Rayvan maarufu Kama Chui amezindua promosheni mpya ya “Kula shavu” kupitia Kampuni ya mchezo wa Kubashiri ya Pigabet.

Akizungumza na Wanahabari Leo Jijini Dar es Salaam Chui amesema Kampuni hiyo ya Ubashiri inawapa nafasi kwa watakaojisajili kwa mara ya Kwanza kwa kutumia Kodi ya “chuo” watapata Bashiri za bure zenye thamani ya shilingi elfu 30 .

Hata hivyo Chui ameongeza Kuwa Kushiriki katika promosheni hiyo wateja wote wa “Kizazi cha Wajanj “pigabet watatakiwa Kubashiri kwa dau la kwanzia 2000 na kuendelea,Mkeka huo uwe na mechi mbili au zaidi.

Kwa Upande wake Afisa Habari wa Kampuni hiyo Allen Mwinyi amesema Katika Promosheni hiyo Kutakuwa na Washindi 10 kutangazwa kila wiki ambao watajishinda 500,000 kila mmoja na kubwa kabisa .

“Washindi watano wa mwisho wa mwezi ambao kila mmoja atajinyakulia kitita cha shilingi Milioni 2 kwa Ujumla katika Promosheni hii tutakua na Washindi zaidi ya 300 ndani ya mwezi mmoja. “

Hata hivyo Mwinyi amesema Promosheni hiyo imeanza rasmi Machi 19,2025 mpaka Aprili 20,2025 ambapo amesema Mwaka huu wateja wao wanaobashiri wategemee Makubwa kutoa burudani na huduma bora zaidi.  

Related Posts