ALHAMIS ya leo hii mechi kali za Mataifa kule Ulaya zinapigwa huku nafasi ya wewe kuondoka na zaidi ya Mamilioni ikiwa mikononi mwako. Chagua timu zako za ushindi na ubashiri hapa.
Mapema kabisa Turkey watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Hungary ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 4.40 kwa 1.85. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili mwenyeji alipasuka hivyo leo hii anataka kulipa kisasi akiwa nyumbani. Je mgeni atakubali kuacha pointi Rams Park?. Bashiri hapa.
Mtanange mkali mwingine ni huu wa Netherlands dhidi ya Spain ambao ni mabingwa wa Euro 2024. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Luis de la Fuente na vijana wake kwa ODDS 2.35 kwa 3.15. Ikumbukwe kuwa timu hizi mara ya mwisho kukipiga ilikuwa kwenye mechi za kirafiki ambapo walitoka sare. Nani unampa pesa yako pale Meridianbet?. Jisajili hapa.
Bashiri na Meridianbet mechi za Nations League Leo ushinde zaidi ya mamilioni. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Majira ya saa 4:45 usiku, katika dimba la San Siro kutakuwa na mechi kali kati ya Italy vs Germany huku Azzurri wakiingia dimbani wakiwa na kumbukumbu ya kupigika vibaya mno mechi ya mwisho walipokutana. Je leo hii Luciano Spalleti na vijana wake wanaweza kuambulia pointi 3?. ODDS za mechi hii ni 2.85 kwa 2.80. Suka jamvi hapa.
Pia Portugal atasafiri kumenyana dhidi ya Denmark ambao kuondoka na pointi 3 leo pale kwao wamepewa ODDS 3.35 kwa 2.25. Ronaldo na wenzake wanahitaji ushindi hii leo, huku wewe ukihitaji mkwanja wa maana. Hivyo ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi uwe mwenye bahati na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet.
Vilevile Croatia atakuwa uso kwa uso dhidi ya France, mabingwa wa kombe la Dunia 2018 na wanafainali wa WC 2022. Meridianbet wao wanampendelea Deschamps na vijana wake kushinda mechi ya leo kwa ODDS 2.15 kwa 3.55. Beti yako unaiweka kwa nani leo?. Tandika jamvi hapa.
Greece atakiwasha dhidi ya Scotland ambapo Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS ya 2.05 kwa 3.85. Takwimu zinaonesha kuwa timu hizi hazijawahi kukutana, hivyo leo hii kila mmoja anataka kuonesha ubabe wake kwenye michuano hii ya UEFA Nation. Jisajili hapa.
Ukraine kutunishana mbavu dhidi ya Belgium ambao wapo chini ya Rudi Garcia na wenyeji wao wananolewa na Serhiy Rebrov. Timu hizi zilikutana kwenye EURO 2024 ambapo walitoshana nguvu. ODDS za mechi hii ni 4.50 kwa 1.86. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Suka jamvi hapa.
Kwa upande wa Austria yeye atakiwasha dhidi ya Serbia ambao mara ya mwisho wamekutana kwenye mechi ya kirafiki na mwenyeji aliibuka na ushindi. Leo hii mgeni anataka kulipa kisasi akiwa na ODDS 5.40 kwa 1.83. Suka jamvi hapa.