Rais Samia Ameniheshimisha, Amchana Haji Manara – Video – Global Publishers



Moja ya watu mashuhuri nchini Tanzania na Afrika Mashariki, Dotto Magari, ambaye amejizolea umaarufu mkubwa mitandaoni kwa umahiri wake wa kuzungumza na vituko mbalimbali, amefunguka kwenye kipindi cha Kona ya Mtaa cha Global TV.

Katika mahojiano hayo, Dotto Magari, ameeleza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amemheshimisha katika maisha yake.











Related Posts