Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imeondoa hitajio la visa kwa raia wa Tanzania wanaoingia DRC kuanzia Machi 20, 2025.