KAMA kawaida mechi za kufuzu Kombe la Dunia 2026 zinaendelea leo huku wewe ukiwa na nafasi ya kuchukua mshiko wa maana ndani ya wakali wa ubashiri Meridianbet. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri hapa.
Tukianza na Kundi C, Benin atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya South Africa ambapo timu hizi mbili zinafatana kwenye msimamo wa kundi hilo. Mwenyeji yupo nafasi ya pili na mgeni wake nafasi ya kwanza. Mara ya mwisho kukutana, Benin alipasuka. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?. Mechi hii imepewa ODDS 3.80 kwa 2.09. Bashiri hapa.
Naye Nigeria atamenyana dhidi ya Zimbabwe ambao mpaka sasa wana pointi 3 , wakati mwenyeji yeye ana pointi 6. Takwimu zinaonesha kuwa mechi mbili za nyuma walizokutana hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Je beti yako unaiweka wapi leo?. 1.30 kwa 10 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Bashiri na Meridianbet mechi za mataifa za kufuzu Kombe la Dunia na ushinde zaidi ya mamilioni. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Angola atakiwasha dhidi ya Cape Verde mechi kali kabisa ambayo inatarajiwa kukupatia pesa ya maana ndani ya Meridianbet. Tofauti yao ni pointi 3 huku nafasi ya kuondoka na ushindi amepewa mwenyeji kwa ODDS 2.03 kwa 3.95. Wewe beti yako unampa nani leo?. Tengeneza jamvi hapa.
Kwa dau lako dogo tuu, unaweza ukabashiri mechi ya Rwanda vs Lesotho ambao ndani ya wakali wa ubashiri, hawapewi nafasi ya kushinda mtanange wa leo wakiwa na ODDS 7.80 kwa 1.48. Suka jamvi lako mechi hii.
Wakati kwa upande wa Uganda yeye atakipiga dhidi ya Guinea katika kundi G, ambapo The Cranes hawapewi nafasi ya kuibuka na pointi tatu wakiwa na ODDS 3.25 kwa 2.24. Tofauti ya pointi kati yao ni 1 pekee. Je nani kuibuka na pointi tatu leo?. Bashiri hapa sasa na Meridianbet.
Pia mechi nyingine ya kubashiri ni hii ya Cameroon vs Libya mchezo ambao utapigwa majira ya 4 usiku. Mara ya mwisho kukutana hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Hivyo leo hii kila timu inataka pointi 3 za ushindi. Meridianbet imeipa mechi hii ODDS 1.37 kwa 9.60. Jisajili hapa.
Vilevile unaweza ukabeti mtanange wa Morocco vs Tanzania ambao wapo ugenini kusaka tiketi ya kusaka kufuzu kombe la Dunia. Mechi itapigwa saa 6:30 usiku huku Taifa Stars haipewi nafasi ya kushinda wakiwa na ODDS 25 kwa 1.12. Mara ya mwisho kukutana Stars walipigika. Hivyo leo hii wanahitaji kulipa kisasi. Je wataweza?. Bashiri sasa.