Dar es Salaam. Wakati wanaume wakiona ni wajibu kutoa zawadi kwa wanawake, wao wanasema hilo linatokana na utamaduni uliojengeka kwa muda, hivyo kuwa kama mazoea.
Day: April 2, 2025

SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais-TAMISEMI inatoa fursa ya mwezi mmoja kwa wanafunzi waliohitimu Kidato cha Nne mwaka 2024 kubadili tahasusi au kozi itakayomwandaa kuwa na

Dar es Salaam. Unakumbuka Machi 11, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan alipoagiza wateule wake, wakiwemo wakuu wa mikoa wenye nia ya kugombea nafasi mbalimbali, kutoa

KLABU ya Simba imeshindwa kutamba ugenini katika hatua ya robo fainali mkondo wa kwanza dhidi ya Al Masry ya nchini Misri baada ya kupokea

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30, 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kuwa matokeo ya Usaili wa maandishi uliofanyika Machi 29 na 30 mwaka 2025 kwa watahiniwa walioomba nafasi za

Wafanyikazi wa uokoaji wanatafuta kumfungulia mwanamke mjamzito aliyevutwa katika magofu ya Sky Villa huko Mandalay, Myanmar ya Kati. Mikopo: Mwandishi wa IPS na Guy Dinmore

ILI kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0 ugenini dhidi ya Al Masry

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV KLABU ya Simba imeshindwa kutamba ugenini katika hatua ya robo fainali mkondo wa kwanza dhidi ya Al Masry ya nchini

Tunduru. Diwani wa Mchoteka (ACT-Wazalendo), Seif Dauda na Katibu wa Wilaya ya Tunduru, Mkoa wa Ruvuma, Said Mponda na baadhi ya wanachama wa chama hicho