Mpango wa utekelezaji, unaoongozwa na Umoja wa Mataifa wa Umoja wa Mataifa (UNAOC) na Ofisi ya Mshauri Maalum juu ya kuzuia mauaji ya kimbariilikuwa Ilizinduliwa
Day: April 5, 2025

****** Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),limekamilisha safu ya uongozi wa Kamati ya Utendaji (KUT),baada ya wagombea 12 kuchaguliwa na kubakia saba. Mapema mchana wajumbe wa

Mkurugenzi mwenza wa Palestina wa maandishi, Basel Adra, aliwasilisha matamshi kwa Kamati ya UN juu ya utumiaji wa haki zisizoweza kutengwa za watu wa Palestina.

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akimteua IGP mstaafu Balozi Simon Sirro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la

Lushoto. Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Msafiri Joseph Mbilu, amewataka waumini na Watanzania kwa ujumla kujiepusha

Dar es Salaam. Baraza la Wazee la Chadema (Bazecha) kupitia chombo maalumu (caucus) kilichoundwa kutatua migogoro limeanza mchakato wa maridhiano kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi

Nyasa. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekula ‘kiapo’ mbele ya wananchi wa Ruvuma kwamba atakuwa mwaminifu na mweledi kumsaidia Rais

Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hana dhamira ya kugombana na majaji, hivyo amedhamiria kumuacha Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma aliyebakiza miezi michache, aende kupumzika.

Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan, amesema hana dhamira ya kugombana na majaji, hivyo amedhamiria kumuacha Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Juma aliyebakiza miezi michache, aende kupumzika.