wa Buchosa, Eric Shigongo, ameongoza maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyotekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo.
Shigongo amesema kuwa katika Jimbo la Buchosa pekee, serikali ya awamu ya sita imeleta Shilingi bilioni 66 ambazo zimetekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo. Wananchi wa Buchosa wamemshukuru Rais Samia kwa jitihada hizo.