***** Na: Dk. Reubeni Lumbagala Taasisi ya Billal Muslim Mission of Tanzania (BMMT) ni taasisi ya kidini yenye kusaidia watoto, familia, jamii zisizojiweza kwa kuwasaidia
Day: April 6, 2025

****** WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka mabalozi kuiishi falsafa ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuimarisha mahusiano na kukuza diplomasia ya kiuchumi

Shinyanga. Mpango wa kunusuru kaya maskini unaoratibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) umeendelea kuleta matumaini kwa maelfu ya Watanzania, huku zaidi ya kaya

Mtwara. Wenyeviti wa vyama vikuu vya ushirika vya Tamcu, Mamcu, na Tanecu wamevitaka vyama vya siasa vya upinzani kuacha upotoshaji kuhusu mfumo wa stakabadhi ghalani,

Na Mwandishi Wetu Wakazi waliokuwa Magomeni Kota wamepinga mkataba wa Sm Mpangaji mununuzi ulioandaliwa kwa upande wa Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi baada ya kubaini

Dar es Salaam. Kijana Gwakisa (27) Hobokela mkazi wa Tabata Kisiwani na Kelvin Montana Mushi (19) wa Mbezi Luis jijini Dar es Salaam wametoweka katika

Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV TAASISI ya UONGOZI inaandaa Kongamano la 8 la Kikanda la Viongozi wa Afrika linalotarajiwa kufanyika Aprili 7 – 8 mwaka

Ruvuma. Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi mkoani Ruvuma imetamatika, huku akisisitiza wananchi kujiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kulihutubia Bunge la Angola ikiwamo kufanya mazungumzo na Rais João Lourenço wa nchi hiyo. Rais Samia ambaye

***** Katika hali ya kuendelea kuongezeka kwa vitisho vya kimtandao duniani, Tanzania inaendelea kuchukua hatua madhubuti za kulinda miundombinu yake ya kidijitali. Nchi hiyo itafanya