Chukua Mkwanja Wako Mapema Leo

HATIMAYE baada ya jana kushuhudia mechi kibao zikipigwa na matokeo mengine yakiwa yakustaajibisha, leo hii ni zamu tena ya wababe wengine kibao uwanjai. Beti yako unampa nani akupe pesa?
Tukianza na ligi kuu ya Uingereza EPL mechi kibao zipo Brentford atamualika kwake Chelsea ambapo mechi ya kwanza The Blues waliondoka na ushindi. Nafasi ya kushinda ndani ya Meridianbet wamepewa vijana wa Darajani kwa ODDS 2.15 kwa 3.20. Bashiri hapa.
Vinara wa ligi Liverpool watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Fulham ambao wapo nafasi ya 10. Arne Slot na vijana wake wanahitaji ushindi kumaliza haraka mbio za ubingwa kwani bado pointi 11 pekee watawazwe mabingwa wa Uingereza. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 4.20 kwa 1.95. Jisajili hapa.
Na leo sasa Uingereza katika jiji la Manchester kutakuwa na Derby kali kabisa kati ya Manchester United vs Manchester City ambapo mara ya mwisho kukutana, Pep Guardiola na vijana wake walipigika. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi pale Old Trafford?. 3.40 kwa 2.20 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Meridianbet wanakuambia hivi tajirika leo na mechi kibao za leo, suka jamvi lako na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
LALIGA kule Hispania kama kawaida itaendelea Sevilla atamleta kwake Atletico Madrid ambao nao wapo na matumaini ya ubingwa baada ya Real na Barca jana kudondosha pointi. Mwenyeji wake yupo nafasi ya 11 huku kushinda leo kapewa ODDS 3.30 kwa 2.35. Je Diego Simeone atashinda?. Tengeneza jamvi hapa.
Getafe atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Real Valadollid ambao wapo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi wakiwa na ppointi zao 16 pekee. Mgeni wake yupo nafasi ya 12 na pointi zake 36. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Bashiri sasa.
Nao Villarreal watakuwa uso kwa uso dhidi ya Athletic Bilbao ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 6 pekee. Mtanange wa mwisho kukutana hawa wawili, Nyambizi wa Njano alipigika, hivyo leo hii anahitaji kulipa kisasi?. Je ataweza? 2.45 kwa 3.00 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Vilevile ligi kuu ya Italia SERIE A nayo kitawaka leo Torino ataumana vikali dhidi ya Hellas Verona ambao mechi iliyopita walitoka sare, halikadhalika kwa mwenyeji. Hivyo pointi 3 za leo ni muhimu sana kwa timu zote mbili. Je beti yako unaiweka wapi leo?. 1.92 kwa 4.80. Ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Atalanta uso kwa uso dhidi ya Lazio Rome ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 6. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.77 kwa 4.80. Wewe unampa nani beti yako ya ushindi?. Beti hapa.
Kwa upande wa Juventus wao watakuwa na kibarua cha kusaka pointi 3 ugenini dhidi ya AS Roma ambao wameshinda mechi 7 mfululizo kwenye ligi. Juve wao kwenye mechi 5 za mwisho wameshinda mechi 3 pekee. Nafasi ya kuondoka na pointi 3 amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 2.65 kwa 3.05. Bashiri sasa.

Related Posts