Ameongeza kuwa Serikali kwa
upande wake ina wajibu wa kutoa fursa sawa ya vyama vya siasa kufanya kampeni,
kutumia vyombo vya habari vya umma na kuhakikisha kuwa kunakuwepo na hali ya
utulivu na amani.
Kwa upande wa Tume, Kailima
amesema inawajibika kwenye mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha uchaguzi
unakuwa wa huru na wa haki na kuhakikisha kunakuwa na usawa katika mchakato wa
uchaguzi.
Amesisitiza kuwa chama ambacho
hakijasaini maadili hayo hakitopata fursa ya kushiriki kwenye uchaguzi mkuu na
chaguzi ndogo nyingine zote zitakazofanyika kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.
Katibu Mkuu wa Chama cha AAFP, Ndg. Rashid Mohamed Ligania Rai akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha ADC, Ndg Mwalimu Hamad Aziz akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha CCK, Ndg. Masoud Ali Abdallah akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha CCM, Balozi Dkt. John Nchimbi akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha CHAUMA, Ndg. Mohamed Masoud Rashid akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha CUF, Ndg. Husna Mohamed Abdallah akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha MAKINI, Ameir Hassan Ameir akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha DP, Ndg. Abdul Juma Mluya akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR – MAGEUZI, Ndg. Evelyn Munisi akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha NRA, Ndg. Hassan Almas akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha SAU, Ndg. Majalio Paul Kyara akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha TLP, Ndg. Yustus Rwamgila akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha UDP, Ndg. Saum H. Rashid akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha UMD, Ndg. Moshi Rashid Kigundula akisaini Maadili ya Uchaguzi.
Katibu Mkuu wa Chama cha UPDP, Ndg. Hamadi Mohamed Ibrahim akisaini Maadili ya Uchaguzi.