JUMLA YA MABALOZI 60 WAWASILI ZANZIBAR KWA ZIARA MAALUM KUANGALIA VIVUTIO VYA UTALII

Mabalozi  waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali na kuangalia Vivutio vya Utalii wakipokelewa na Kuangalia Burudani ya Ngoma ya Msewe mara baada ya Kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume Zanzibar .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.

Mkuu wa Jengo la Baitil Amani Heri Bakari akitolea maelezo kuhusiana na Makumbusho ya Jengo hilo kwa  Mabalozi  waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii Zanzibar  .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.

Mkuu wa Makumbusho ya Makaburi ya Wafalme Zuhura Ali akitowa Maelezo kuhusiana na Historia ya Wafalme kwa Mabalozi  waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii Zanzibar  .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.

Mkuu wa Makumbusho ya Makaburi ya Wafalme Zuhura Ali akitowa Maelezo kuhusiana na Historia ya Makaburi ya Wafalme kwa Mabalozi  waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii Zanzibar  .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.

Mtembeza Watalii Idi Shabani Abrahmani akitoa maelezo kuhusiana na Mji Mkongwe wa Forodhani, kwa Mabalozi  waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii Zanzibar  .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.

Mabalozi  waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii wakitembelea Mji Mkongwe Forodhani Zanzibar  .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mudrik Ramadhan Soraga akizungumza  na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara ya  Mabalozi waliofika Zanzibar kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii  Zanzibar  .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.

Muonekano wa Sub marine iliowabeba Mabalozi kwa ajili ya kuangalia Samaki na Vivutio mbalimbali vya Baharini  wakati walipowasili kwa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii  Zanzibar  .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.

Balozi wa Nchi ya Burundi Leontine Nzeyimana akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa Ziara Maalum ya kutembelea Sehemu mbalimbali, kuangalia Vivutio vya Utalii  Zanzibar  .Jumla ya Mabalozi 60 wanaowakilisha Nchi zaidi ya 40 pamoja na Mashirika ya Kimataifa ,Afrika ,Ulaya na Asia waliwasili.

PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.

Related Posts