Mahakama ya kikatiba ya Korea Kusini imeidhinisha uamuzi wa kumuondosha rasmi madaraka Rais Yoon Suk Yeol ambaye alisimamishwa kazi na bunge. Uamuzi
Month: April 2025

Katika kochi moja refu maeneo ya Kinondoni nilipata bahati na wasaa wa kukaa na kupiga gumzo na mmoja kati ya viongozi waandamizi wa Serikali hii.

Seoul. Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini imemwondoa madarakani Rais Yoon Suk Yeol aliyekuwa amefutwa kazi kwa kura ya kutokuwa na imani naye, leo imehitimisha

Katika kochi moja refu maeneo ya Kinondoni nilipata bahati na wasaa wa kukaa na kupiga gumzo na mmoja kati ya viongozi waandamizi wa Serikali hii.

Kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Uganda jana kumeifanya timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ kuwa

Unguja. Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) kwa kipindi cha robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2024/25, imekusanya Sh238.746 bilioni, sawa na ufanisi wa asilimia

Mfadhili wa zamani wa Simba, Azim Dewji amewataka mashabiki wa timu hiyo kuamini kuwa itapata matokeo mazuri katika mechi ya marudiano dhidi ya Al Masry

KIUNGO wa Azam, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema mechi sita zilizobaki ni kucheza kufa na kupona kwani lolote linaweza kutokea katika vita ya ubingwa, huku

Morogoro. Watu 14 wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Mjini Morogoro (Nunge) kwa tuhuma ya kujifanya maofisa wenye mamlaka ya kutoa ajira na kuwakusanya vijana

Benki ya Absa Tanzania imezindua rasmi huduma mpya ya kifedha inayojulikana kama Mkopo wa Mali za Kibiashara (Commercial Asset Finance – CAF), hatua ambayo imetajwa