***** Kampuni ya usafiri wa mtandaoni Bolt, inayoongoza nchini Tanzania, imezindua rasmi huduma zake katika mji wa Kahama, hatua inayochukuliwa kuwa mafanikio makubwa katika
Month: April 2025

Unguja. Katika kukabiliana na uhaba wa maji kisiwani Zanzibar, wananchi wametakiwa kuwa makini katika matumizi ya maji ili kudhibiti upotevu wa rasilimali hiyo muhimu, kwani

Dar es Salaam. Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibeba ajenda ya uchaguzi mkuu mwaka huu ikieleza kila hoja inayopigiwa kelele na pande mbili zinazokinzana kuhusu

Tunduma. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, ameunda kamati maalumu kuchunguza sababu za ucheleweshaji wa malori ya mizigo kuvuka mpaka wa Tunduma, ambapo imebainika

Mbeya. Wakati bei ya mchele ikipanda mkoani Mbeya, wakulima wa zao hilo wamesema huenda bidhaa hiyo ikazidi kupanda kutokana na ukame wa mvua msimu huu.

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu anadaiwa kushirikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma muda mchache baada ya

HISTORIA imeandikwa! Mnyama ameenda nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mara ya kwanza baada ya ushindi wa penalti 4-1 dhidi ya Al Masry

Dar es Salaam. Ili kuharakisha ujumuishaji wa kifedha kwa wanawake, Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imetaja maeneo ambayo yanapaswa kuwekewa mkazo zaidi ikiwemo kurahisisha upatikanaji

Kahama. Mwanaume ambaye jina lake halikufahamika, amefariki dunia baada ya kujirusha chini ya uvungu wa gari la mizigo, mali ya kampuni ya CIMC. Ajali hiyo

Mbeya. Wajawazito wanaotumia vilevi na sigara kupita kiasi, wako hatarini kupata watoto wasio na ubongo ‘alcoholic syndrome’ tatizo linalosababisha ubongo wa mtoto kutofanya kazi, kutokomaa