WAKATI mashindano ya Kombe la Shirikisho (FA) yakitinga hatua ya nusu fainali, nyota kadhaa wamefunga ha trick katika mechi walizocheza, huku wale wa Ligi ya
Month: April 2025

Dar es Salaam. Mamlaka za serikali za mitaa 42, sekretarieti za mikoa mbili zimechepusha Sh13.99 bilioni ili kugharamia shughuli nyingine za maendeleo na matumizi ya

Na Mwandishi Wetu, Mwanza NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Mipango na Uwekezaji, Stanislaus Nyongo, ametoa wito kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika kupanga na

KOCHA wa zamani wa Simba, Dylan Kerr aliyepo kwa sasa Marekani kwa mapumziko, ameshindwa kujizuia na kuwatabiria Wekundu wa Msimbazi kufika fainali ya michuano ya

Dar es Salaam. Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeomba kuidhinishiwa Sh11.78 trilioni kutekeleza vipaumbele 14 katika

KOCHA Mkuu wa Tabora United, Mzimbabwe Genesis ‘Kaka’ Mangombe imedaiwa amejiweka kando kukifundisha kikosi hicho, huku sababu kubwa ikielezwa ni kutokana na mwenendo usioridhisha wa

Dar es salaam. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2023/2024 imebainisha kuwa Tanzania haijapewa ardhi, Uturuki na Kuwait

MSHAMBULIAJI wa Namungo, Pius Buswita amekiri msimu huu amekuwa na wakati mgumu katika kasi ya kutupia mipira nyavuni, lakini amesema kama hataifikia rekodi ya msimu

Dar es Salaam. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeeleza kuwa Sh2.59 trilioni ya tozo mbalimbali kilichokusanywa kupitia Mamlaka ya

Dodoma. Homa ya uchaguzi imeendelea kutanda bungeni ambapo Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma ameshauri watumishi wa umma wanaotaka kugombea ubunge katika uchaguzi mkuu