Geita. Jeshi la Polisi mkoani Geita limetoa wito kwa wananchi kutokubali kukamatwa na mtu yeyote anayejitambulisha kama askari polisi bila kuonyesha kitambulisho cha utumishi na
Month: April 2025

Dar es Salaam. Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini, vyama vya siasa na mashirika yasiyo ya kiserikali, kuhamasisha wananchi wazingatie amani

Na Oscar Assenga,Tanga WAZIRI wa Katiba na Sheria Dkt Damas Ndumbaro amezitaka familia, viongozi wa dini na uongozi wa mkoa wa Tanga kuweka mikakati ya

INAELEZWA kuwa upo uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephene Aziz Ki wa kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Kwa mujibu wa

Mwanza. Mahakama ya Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Kijiji cha Kinamweli, Iddy Makungu (30) kwa kosa la

Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Patience Ntwina akizungumza leo Aprili 09, 2025 wakati akifungua mafunzo muhimu kwa watumishi wa

Arusha.”Ni mauaji ya kusikitisha.” Ndivyo unavyoweza kusema baada ndugu watatu ambao Ester Matei, Lidia Matei na Anjela Barnaba kuuawa kwa kuchomwa visu sehemu mbalimbali za

Dodoma. Serikali ya Tanzania imesema mapendekezo ya kupunguza tozo na kodi za uingizaji wa samaki kutoka nje ya nchi yatafanywa kulingana na matokeo ya tathmini

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuhakikisha huduma zinazohusiana na masuala ya Ukimwi zinaendelea kupatikana na hakuna Mtanzania atakayekosa huduma hizo. Hayo

**** Na mwandishi wetu- TABORA. Katibu Tawala Mkoa wa Tabora, Dkt. John Mboya amewataka watumishi wa umma kuzingatia Sheria ya Ununuzi wa Umma ya Mwaka