Na Baltazar Mashaka, Mwanza KATIKA juhudi za kulea kizazi chenye maadili na hofu ya Mungu, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkoa wa Mwanza,leo limewazawadia
Month: April 2025

Moja ya Majengo ya zamani katika Shule ya Wasichana ya Ashira iliyopo wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro ,miongoni mwa shule Kongwe zilizofanyiwa maboresho ya miundombinu

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Masoko ya Kariakoo Mhe. Hawa Ghasia amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoa shilingi milioni 306 kulipa

Mwenyekiti wa Bodi ya Uwekezaji na Fedha ya Watumishi Housing Investment (WHI) Celestine Muganga akitoa maelekezo Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa WHI, Sephania Solomon

Katika mwaka wake wa tatu, mzozo Kati ya Vikosi vya Wanajeshi wa Sudan (SAF) na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) vimeunda shida kubwa zaidi

Tabora. Baada ya wakulima wa zao la tumbaku kudai kwa muda mrefu fedha za mbolea ya ruzuku walizoahidiwa na serikalini bila mafanikio, hatimaye Makamu Mwenyekiti

Serengeti. Wakazi wa Kijiji cha Makundusi, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wamelalamikia ongezeko la matukio ya wanyamapori, hususan tembo na simba kutoka Hifadhi ya Taifa

Dar es Salaam. Wakati Wakristo leo wakiadhimisha mateso na kifo cha Bwana Yesu Kristo, wamekumbushwa kuwa na tumaini, upendo, umoja pamoja na mshikamano. Akizungumza kuhusu

Dar es Salaam. Umewahi kuhisi kukosa morali ya kazi inapokaribia mwishoni mwa juma au Jumatatu inayojulikana kwa wengine kama ‘Monday Blues’? Hali hii huwatokea watumishi

Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, ambaye ametia nia ya kugombea urais kupitia chama chake, amesema akipewa ridhaa atashughulikia mambo