Inapokuja mechi kubwa ya dabi yoyote duniani kuna vitu vingi ambavyo hutazamwa katika kuuzungumzia ukubwa wa mchezo husika. Uhamisho wenye utata, matokeo yenye kuumiza na
Month: April 2025

Geita. Kauli ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Saphia Jongo, inayowaasa wananchi kutokubali kukamatwa na polisi wasiojitambulisha, imeibua mijadala miongoni mwa wadau wa haki

Mkutano wa afya wa kikanda uliofanyika wiki hii jijini Dar es Salaam uliwaleta pamoja wataalamu, maafisa wa afya, na wawakilishi wa wagonjwa kutoka Kenya, Uganda,

Dar es Salaam. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasilisha bungeni mapitio ya utekelezaji wa shughuli za Serikali na mwelekeo wa mwaka ujao wa fedha, akitilia mkazo

NAHODHA wa zamani wa Italia na mshindi wa Kombe la Dunia, Fabio Cannavaro amefutwa kazi katika klabu ya Dinamo Zagreb ikiwa ni miezi mitatu tu

Dar es Salaam. Halmashauri ya jiji la Tanga, imetajwa kuongoza kwa usafi kwa kupata asilimia 83.2 ya alama zote. Ikishindanishwa na halmashauri sita za majiji

Dar es Salaam. Wakati Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ikiendelea kuhamasisha taasisi za kifedha kuja na bunifu mbalimbali zitakazowawezesha watu kukopa kirahisi na kuwaepusha na

**** Benki ya Biashara Tanzania (TCB) kwa kushirikiana na Ramani.io wamezindua rasmi ushirikiano unaolenga kuimarisha biashara za ndani na kuongeza ujumuishaji wa kifedha nchini wakilenga

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila ametoa maagizo kwa wakuu wa wilaya (DC) na wakurugenzi (DED) kukamilisha ujenzi

Kati ya vyuo vikuu 19 vilivyoshiriki katika mashindano ya Afya na Usafi wa Mazingira, vitano vimeibuka katika nafasi ya juu vikiongozwa na Chuo cha Taasisi