Dar es Salaam. Halmashauri ya jiji la Tanga, imetajwa kuongoza kwa usafi kwa kupata asilimia 83.2 ya alama zote. Ikishindanishwa na halmashauri sita za majiji
Month: April 2025

Dar es Salaam. Wakati Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ikiendelea kuhamasisha taasisi za kifedha kuja na bunifu mbalimbali zitakazowawezesha watu kukopa kirahisi na kuwaepusha na

**** Benki ya Biashara Tanzania (TCB) kwa kushirikiana na Ramani.io wamezindua rasmi ushirikiano unaolenga kuimarisha biashara za ndani na kuongeza ujumuishaji wa kifedha nchini wakilenga

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila ametoa maagizo kwa wakuu wa wilaya (DC) na wakurugenzi (DED) kukamilisha ujenzi

Kati ya vyuo vikuu 19 vilivyoshiriki katika mashindano ya Afya na Usafi wa Mazingira, vitano vimeibuka katika nafasi ya juu vikiongozwa na Chuo cha Taasisi

Dar es Salaam. Wafanyabiashara 142 wa soko Kuu la Kariakoo waliokatwa mara ya pili katika orodha ya wanaotakiwa kurudi sokoni hapo, wameelezwa kuwa hawana vigezo,

KITENDO cha Pamba Jiji kupewa mkwaju wa penalti dakika ya 90+7 kisha kukosa ilipotoka sare ya 1-1 na Fountain Gate, kimemshangaza zaidi kocha wa timu

Panellists kutoka Taasisi ya Usimamizi wa Maji ya Kimataifa (IWMI) wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa IWMI 2024-2030 huko Afrika Mashariki. Mikopo: Busani Bafana/IPS na

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu imetoa hati ya kumkamata mshtakiwa Ibrahim Batweli (21) baada ya kushindwa kufika mahakamani, bila kutoa taarifa. Pia

****** *📌 Majimbo yaendelea kufaidika na mradi wa umeme wa Vitongoji 15.* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati